Gusii, Kenya

Become a Fan

Sindigisa

Tibweba Abana

« "Baminto Tokorere Ekeene", Bari Bachandetwe Aaria Manga | Main | Mr. Ongengo »

TrackBack

TrackBack URL for this entry:
http://www.typepad.com/services/trackback/6a010536254ef8970b01157153ca19970c

Listed below are links to weblogs that reference Bosoku Tiboiyo Ase Ekegusii:

Comments

Feed You can follow this conversation by subscribing to the comment feed for this post.

Troy Spier

Hujambo! Ninafanya kazi tangu mwaka mmoja na lugha ya ekegusii, kwa sababu ninataka kufanya kamusi na basic sarufi kwa lugha hii. Nina websiti hapa na habari na kazi yangu, lakini nitahitaji msaada baadaye kidogo, tafadhali. Asante!

Jared Nyaberi

Troy,
Kubali shukrani zangu kwa kutembelea Gusii.com. Zaidi ya hivyo, ninakushukuru kwa kufanya kazi ya kutengeneza kamuzi ya Ekegusii. Mimi ni mtumishi wa Ekegusii. Cho chote kinachofanywa kusaidia lugha ya Ekegusii, mimi niko tayari kushika jembe na kusaidia. Tafadhali niandikie jina la webusaiti yako.Shukrani tena.

The comments to this entry are closed.